.PIA KWA MWANANCHI YOYOTE MWENYE SHUGHULI YA UJENZI APATE KIBALI CHA UJENZI KABLA YA KUANZA KUJENGA NYUMBA. HIVYO WANANCHI WATATAKIWA KUFIKA OFISI ZA IDARA YA ARDHI KWAAJILI YA UFAFANUZI ZAIDI KUANZIA TAREHE 01.09.2017.MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA MJI KASULU ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WENYE VIWANJA AMBAVYO HAVIJAENDELEZWA WAVIENDELEZE MARA MOJA KUANZIA TAREHE YA TANGAZO HILI.
Kasulu Town Council
Postal Address: P.O.BOX 475
Telephone: 028-2810335
Mobile: 0784997037
Email: td@kasulutc.go.tz