Idara ya Maendeleo ya Jamii kazi kubwa inafanya kazi ya usuluhishi wa migogoro ya kifamilia pamoja na kuchochea maendeleo katika Mji wa kasulu kwa kuwahamasisha wananchi kushiriki katika utekelezaji wa Miradi ya Maendele katika Mji-Kasulu.