TAARIFA YA KITENGO CHA UCHAGUZI KWA KIPINDI CHA OKTOBA -DESEMBA 2016
Shughuli zilizofanywa na kitengo cha Sheria ilikuwa ni kuendesha mashauri mbalimbali katika Mahakama mbalimbali ikiwa ni pamoja na Mahakama ya Wilaya ya Kasulu,Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya Kigoma na Tume ya Usuluhishi Kigoma (C.M.A).Jumla ya 5 zinaendelea kusikilizwa, kesi 2 ni za migogoro wa Ardhi,1 ni inahusiana na mgogoro wa kazi na inaendeshwa kwenye tume ya usuluhishi Kigoma,2 zinahusu madai kesi zote hizi zimerithiwa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu.Pia kitengo kimeendelea kusimamia na kuboresha utendaji kazi wa mabaraza ya Ardhi ya Kata.