,
Idara ya Ardhi na Mipango Miji imetekeleza kazi mbalimbali , Kuchoraa michoro mipya ya Mipango Miji katika maeneo mbalimbali yaliyopo katika Mji wa kasulu. Kutoa masharti ya uendelezaji wa viwanja.Uidhinishaji wa ramani za Majengo kwa wamiliki wa viwanja , Kutoa elimu ya sheria ya Mipango miji ya namba nane mwaka 2007 Katika , Kupokea, Kusikiliza na Kutatua migogoro ya Ardhi.Kusimamia zoezi la ukusanyaji wa takwimu za majengo na biashara, Kupima viwanja vipya katika eneo mbalimbali ya watu binafsi.Kuandaa ramani , Kufanya Uthamini wa mali za watu ili kukopa kwenye taassisi za fedha pamoja na kuhamisha miliki za viwanja.Kukadiria viwango vya kodi za ardhi kwa wamiliki wapya na wale wa zamani.Kuonyesha mipaka ya viwanja na kurudishia alama za upimaji
Kuandaa hati Kwa wamiliki wapya wa viwanja.kufanya doria na kutoe elimu kwa maeneo yenye misitu.
kutembelea na kutoa elimu kwa vikundi vya ufaugaji nyuki.