• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI YA MJI KUNUFAIKA NA FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO

Posted on: August 21st, 2023

SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI HALMASHAURI YA MJI KASULU KUNUFAIKA NA MADAWATI KUTOKA  MFUKO WA JIMBO.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na watu wenye ulemavu ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Kasulu mjini Mkoani Kigoma amekabidhi madawati 722 kwa halmashauri ya  Mji kasulu ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za serikali katika kuboresha sekta ya elimu nchini kwa mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji.

Akikabidhi madawati hayo Mbunge wa jimbo hilo Prof. Joyce Ndalichako amefafanua kua madawati hayo yamegharimu shilingi milioni 59,980,00 ambayo yatasaidia kuboresha mazingira yakujifunzia ambapo amempongeza Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha njia sekta ya elimu.

Prof. Ndalichako amewasisitiza walimu na wanafunzi kuyatunza madawati hayo ikiwa ni pamoja na kuonyesha nidhamu nzuri shuleni pia amesisitiza kuendelea kutumia fedha za jimbo kwa maendeleo ya wananchi.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanali   Isaac Anthony Mwakisu amemshukuru mbunge huyo kwa msaada huo wa madawati na kueleza kuwa uwepo wake katika jimbo hilo umesaidia kwa kiasi kikubwa kuinua maendeleo na kuifanya hatua kupiga hatua.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa halmashauri ya kasulu mji Bw. Noel Hanura ambaye ni diwani wa kata ya heru juu amemshukuru Prof. Joyce Ndalichako kwakuwa mbunge kiongozi ambaye pamoja na majukumu makubwa ya serikali aliyonayo amekua na utamaduni mzuri wa kukutana na wananchi na kutatua kero zao.

Aidha mkurugenzi wa halmashauri ya mji kasulu Bw. Dollr Kusenge amesema msaada huo utasaidia kupunguza changamoto ya madawati ambaponhapo awali halmashauri ilikuwa na upungufu wa 22500 na pia ameendelea kumshukuru Rais SAMIA SULUHU HASSAN kwani ameboresha mazingira katika Nyanja za elimu afya na mazingira kwa kuleta watumishi wa kutosha.

Naye mkuu wa shule bogwe bw.David Kindanda kwa niaba ya wakuu wa shule na walimu wakuu wote amesema,”naishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuendelea kuboresha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji na kwamba madawati waliyopewa leo yatasaidia kupandisha kiwango cha taaluma na kupunguza utoro.

 

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI July 01, 2025
  • View All

Latest News

  • MPANGO WA SHULE BORA IMEBORESHA TAALUMA YA UFUNDISHAJI KASULU MJINI.

    July 01, 2025
  • JAI SHUJAA WA DAMU KASULU

    June 09, 2025
  • “Waalimu Waaswa Kuongeza Ubunifu Katika Kufundisha Ili Kuleta Mabadiliko Chanya”;TD Simbeye.

    May 30, 2025
  • Waajiriwa Wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu Wajengewa Uwezo Kupitia Mafunzo ya Mfumo wa MUKI

    May 29, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.