• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI YATAKIWA KUTOA ELIMU YA MFUMO WA UKUSANYAJI MAPATO TAUSI

Posted on: September 8th, 2023

BARAZA LA MADIWANI LAKITAKA  KITENGO CHA FEDHA  NA UHASIBU  HALMASHAURI YA MJI KASULU  KUTOA ELIMU YA ULIPAJI KODI KWA MFUMO MPYA WA UKUSANYAJI MAPATO(TAUSI)

Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa kasulu mheshimiwa Noel Hanura amewataka kitengo cha fedha kuendelea kutoa elimu ya ulipaji wa kodi kwa mfumo mpya wa tausi kutokana na kukaa muda mrefu bila wafanyabiashara  kulipia mapato ya halmashauri.

Aliyasema hayo wakati wa kikao cha robo cha madiwani na kusisitiza,”mnatakiwa kutoa  elimu ya mfumo wa TAUSI kwa haraka kwani kwa kipindi cha miezi mitatu halmashauri imepoteza mapato na tukawaeleshe wafanyabiashara ili tutakapoenda kukusanya mapato kusitokee kutokuelewana na kusababisha taharuki kwa wananchi”.

Aidha katika baraza hilo kulifanyika uchaguzi wa makamu mwenyekiti na mheshimiwa  Selemani Jonas Kwirusha  ambaye ni Diwani wa kata ya Kumunyika kupitia chama Cha Mapinduzi CCM  alichaguliwa kwa kupata kura 18 Kati ya 19 na kuwa makamu mwenyekiti wa halmashauri ya Mji kasulu

Diwani Selemani Kwirusha Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo  aliyechaguliwa ametoa neno la shukrani kwa wapiga kura wote waliomchagua na yule ambaye hakumchagua kwa kusema kuwa uchaguzi ulikuwa mzuri na wa demokrasia.

Makamu Mwenyekiti huyo aliyechaguliwa Mwaka huu atahudumu kwenye nafasi yake ya uongozi ndani ya  mwaka mmoja Licha ya kuchaguliwa kwa Makamu huyo zimechaguliwa kamati mbalimbali ikiwemo kamati ya maadili ,kamati ya fedha pamoja na kamati  ya afya na ukimwi

Naye Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kasulu Mji Dollar Rajab Kusenge ametoa  matokeo ya uchaguzi huo wa Kumpata Makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo katika kikao Cha baraza la madiwani na kusema,” ni kura moja ndiyo iliyoharibika Kati ya kura 19 za wajumbe wa uchaguzi huo na kuwasisitiza kutoa ushirikiano kwa viongozi waliochaguliwa”.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI July 01, 2025
  • View All

Latest News

  • MPANGO WA SHULE BORA IMEBORESHA TAALUMA YA UFUNDISHAJI KASULU MJINI.

    July 01, 2025
  • JAI SHUJAA WA DAMU KASULU

    June 09, 2025
  • “Waalimu Waaswa Kuongeza Ubunifu Katika Kufundisha Ili Kuleta Mabadiliko Chanya”;TD Simbeye.

    May 30, 2025
  • Waajiriwa Wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu Wajengewa Uwezo Kupitia Mafunzo ya Mfumo wa MUKI

    May 29, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.