• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

CRDB KASULU KUCHNGIA BWENI LA WENYE MAHITAJI MAALUMU

Posted on: May 11th, 2023

SEKTA YA FEDHA YA CRDB KUCHANGIA UJENZI WA BWENI LWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU

Mkurugrenzi wa halmashauri ya mji kasulu bw.dollar Rajab Kusenge  ameipongeza na kuishukuru benki ya CRDB kwa kuweza kuchamgia ujenzi wa bweni la watoto wenye mahitaji maalumu wanaosoma  katika shule ya msingi kalema

Aliyasema hayo wakati akikbidhiwa mifuko 50 nya saruji yenye thamani ya shilingi za kitanzania 1,200,000 kutoka tawi la CRDB kasulu mna kusema ,”tuliwaomba msaada wa saruji na leo wametimiza kwa kutuletea hii italeta chachu ya maendeleo kwa sekta ya elimu na itawasaidia watoto hawa ambao walikuwa wanatoka umbali mrefu kuja kusoma na itawaepusha na athari zinazoweza kuwasababisha wasiweze kufika shuleni kwa kufanyiwa vitendo vya ukatili”.

Kwa upande wake meneja wa tawi la CRDB kasulu Bw.Kilian Ladislaus alisema,”fedha zilizochangia kununua saruji hizi zinatokana na mapato ya asilimia moja ya wateja wa benki yetu hapa kasulu hivyo kufanya kwetu hivi tutakuwa tumechangia uboreshaji wa mazingira ya kujifunzia watoto wetu hasa hawa wenye mahitaji maalumu”.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 19, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • View All

Latest News

  • SERIKALI YATEELEZA ILANI KWA VITENDO

    February 04, 2023
  • MAFUNZO USHITIRI KUBORESHA UPATIKANAJI WA DAWA

    April 14, 2023
  • KILIMO KUKWAMUA VIJANA KASULU MJI

    April 27, 2023
  • wadau kusapoti sekta ya elimu kasulu mji

    March 16, 2023
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.