• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI KUPINGA UALBINO

Posted on: June 13th, 2022

HALMASHAURI KUPINGA UKATILI ALBINO

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya mji wa kasulu Dr,Sudi kundelya ametoa wito kwa wananchi kutowanyanyuapaa na kuwaficha walemavu wa aina ili kuweza kuwasaidia katika kupata haki zao za msingi ikiwa ni pamoja na kuwapeleka idara ya ustawi wa jamii kwaajili ya kutambulika,

Ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya sikuya kitaifa ya kuongeza uelewa kuhusu ualbino ambayo yalifanyika katika viwanja vya shule ya msingi nyasha kata ya nyasha na kusisitiza wananchi kuacha kunyanyapaa watu wenye ulemavu hasa albino na kuahidi kama halmashauri kuwasaidia kupata ofisi pia kuwasisitiza wananchi kujitokeza agosti 23kuhesabiwa katika sense ya watu na makazxi ili kuisaidia serikali kupata takwimu sahihi katika kuleta maendeleo.

Aidha Diwani wa kata ya Nyasha  bw.Patric Madaraka amewaasa wananchi wa kata hiyo kuendelea kupinga ukatili wa albino hasa kwa kuondokana na Imani potofu za kishirikina ambazo ndio zimekuwa zikichochea ukatili huo na kuwataka kutoas taarifa pindi wanapoona dalili au ukatili ukifanyika

Kwa upande wake Mwnyekiti wa  Chama cha watu wenye ulemavu wa ngozi Albino (TASI) bwana ameimeiomba serikali pamoja na wadau mbalimbali kuendelea kutoa sapoti kwa kuwasaidia walemavu hao katika Nyanja mbalimbali,kama elimu,afya na maradhi.na kuwa licha ya kuendelea kupata misaada kutoka kwa wadau mbalimbali bado wanakabiliwa na changamoto ya ajira kwa watu wenye ualbino hivyo kuiomba serikali kuwasaidia ajira kwa urahisi ili kuwerza kuzitumikia fani walizokuwa nazo.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI ZA UTENDAJI WA MITAA APRILI 2018 April 06, 2018
  • View All

Latest News

  • HALMASHAURI YA MJI KUPATA RUZUKU

    June 21, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HALMASHAURI KUPINGA UALBINO

    June 13, 2022
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.