• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

HALMASHAURI YA MJI YAPITISHA BAJETI YA SH BIL.35.7 KWA MWAKA WA FEDHA 2025/2026

Posted on: February 17th, 2025

Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma limepitisha bajeti ya shilingi bilioni 35.7 kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika halmashauri hiyo.


Bajeti hiyo imepitishwa katika kikao maalum cha baraza la madiwani ili kutekeleza miradi ya maendeleo itakayosaidia wananchi katika halmashauri hiyo.


Akizungumza baada ya kusomwa kwa bajeti hiyo Kaimu mwenyekiti wa halamshauri ya Mji Kasulu ambaye pia ni diwani wa kata ya Kumnyika Mh. Seleman Kwirusha amewashukuru madiwani waliopitisha bajeti hiyo sambamba na wakuu wa idara ambao wamekuwa chachu ya kufanikisha bajeti hiyo kupita bila changamoto yoyote


Kwa upande wake Kaimu Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanal Michael Ngayalina ambaye ni mkuu wa wilaya Buhigwe amesema bajeti hiyo itasaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyopo ndani ya halmashauri hivyo ni vizuri kushirikiana ili kufanikisha miradi iliyopo inatekelezwa bila changamoto yoyote.


Nao baadhi ya wajumbe  walioshiriki kikao hicho cha bajeti akiwemo Shekhe wa msikiti wa Mwilavya Maurid Ramadhani na Katibu wa chama cha demekrasia na maendeleo CHADEMA wilaya ya Kasulu Emmanuel Simon wamesema utekelezaji wa bajeti hiyo ndiyo chachu ya maendeleo ya Halmashauri ya mji wa Kasulu.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.