• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

Posted on: June 16th, 2022


MENEJIMENTI YATAKIWA KUFUTA HOJA

Mkuu wa mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye ameitaka halmasahuri kufanya kazi kwa weledi na kusimamia miradi kwa ufanisi na kwa kuzingatia maelekezo kutoka kwa mkaguzi mkuu na mdhibiti wa hesabu za serikali hasa katttika swala zima la utoaji wa wa taarifa za fedha ili kupata ustawi Zaidi ambapo halmashauri ya mji wa kasulu imepata hati safi yenye alama 72.

Ameyasema Hayo wakati akizungumza na baraza la madiwani katika kikao maalumu cha ukaguzi na udhibiti wa hesabu za serikali ambapo amesisitiza kuendelea kutoa mafunzo na vitendea kazi pamoja na kuhakikisha halmashauri inaimarisha ofisi ya mkaguzi wa ndani kama mfumo wa udhibiti wa ndani wa halmashauri kwa kuzingatia utaratibu ikiwa nipamoja na kuitioa fedha zote za lishe ili zikafanye jkazi ya kupunguza pengine kuondoa kabisa swala la udumavu kwenye jamii zetu.

Aidha andengenye ameendelea kusisitiza kuendelea kutumia vyema mapato ya ndani kwa kuendelea kuboreshas utoaji wa mikopo ya asilimia kumi ili kupunguza hoja ilizokuwanazo licha ya kuonyesha kutenda vyema katika ukusanyaji mapato na swala zima la utoaji mikopo ya asilimia kumi  kuhakikisha inaziondoa kabisa hoja  hizo na kuwasisitiza madiwani kuwahamasisha wananchi kufahamu lengo la sensamenejimenti ya  na kushiriki katika kuhesabiwa  ifikapoagosti 23.

Kwa upande wake  wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa kasulu Bwn Dollar Rajabu Kusenge ameishukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuweza kutoa vibali vya kuajiri watumishi 184 ambalo litaweza kuleta ufanisi wa kazi na kuweza kupunguza hoja hizo pia kuishukuru ofisi ya mkuu wa mkoa wa kigoma ambao wamekuwa wakishirikiana kwa ukaribu Zaidi aambalo limeweza kipatia halmashauri ya hati safi na kuhakikisha mwaka wa fedha unmaisha kwa hoja kufutwa kabisa nah ii iklitokea kutokuwa na watumishi wa kutosha wenye  uwezo wa kuweza kuzijibu hoja kiufasaha na kusisitiza kuwa halmashauri itatenga fedha kwa ajili ya mafunzo ya wahasibu ili kuweza kuwaongezea ufanisi katika utendaji kwzi

Aidha mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa kasulu bw,Noel Hanura amesema kuwa atahakikisha menejimenti kwa kushirikiana na baraza la madiwani wanafanya kazi kama timu kwa umoja  ili halmashauri iweze kufanikiwa Zaidi kuingia katika kkundi la halmashauri zinazofanya Zaidi na kumwiomba mkuu wa mkoa wa kigoma kusaidia halmashauri iwe na barabara zenye viwango vya rami

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI ZA UTENDAJI WA MITAA APRILI 2018 April 06, 2018
  • View All

Latest News

  • HALMASHAURI YA MJI KUPATA RUZUKU

    June 21, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HALMASHAURI KUPINGA UALBINO

    June 13, 2022
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.