• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

JAI SHUJAA WA DAMU KASULU

Posted on: June 9th, 2025

Mkurugenzi wa Halmsahauri ya Mji kasulu Vumilia Julius Simbeye ameeongoza Jumuiya Akhlaqul Islam (JAI) kuchangia damu katika hospitali ya wilaya ya kasulu (Mlimani) ikiwa ni utaratibu wa jumuiya hiyo kujitolea damu ili kusaidia wenye uhitaji.

Tukio hilo lilofanyika leo Juni 8, ikihusisha takribani watu (150) wamechangia jumla ya unit (65) zimekusanya zikilenga kuwasaidia wagomjwa wenye uhitaji wakiwemo wajawazito, wagonjwa wa seli mundu, wagonjwa wa kansa ya damu, pamoja na majeruhi wa ajali.

Simbeye ameushukuru uongozi wa Jai kwa utaratibu wao wa kuhudumia hospitali hiyo kwa kuchangia damu lakini pia utaratibu wa kuhudumia wagonjwa wenye mahitaji na wale wasiokuwa na ndugu wa kuwahudumia pindi wanapolazwa pia ametoa rai kwa taasisi nyingine zikiwemo za dini na watu binafsi kuona umuhimu wa kuchangia damu.

Pia amewataka walio na mitazamo tofauti juu ya uchangiaji wa damu kuacha kwani utoaji wa damu ni kitendo salama na ina faida ikiwemo kupunguza magonjwa kama shinikizo la damu.

Aidha uongozi wa JAI umeeleza kuwa hii ni desturi waliojiwekea wakiwa wamelenga kupunguza vifo vinavyotokana na ukosefu wad amu ikiwepo mama wajawazito wanapotaka kujifungua na wale wanaopungukiwa na damu.

Ikumbukwe kuwa hii ni wiki ya uchangiaji damu duniani ikiwa na kauli mbiu "changia damu lete matumaini pamoja tunaokoa maisha."

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • JAI SHUJAA WA DAMU KASULU

    June 09, 2025
  • “Waalimu Waaswa Kuongeza Ubunifu Katika Kufundisha Ili Kuleta Mabadiliko Chanya”;TD Simbeye.

    May 30, 2025
  • Waajiriwa Wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu Wajengewa Uwezo Kupitia Mafunzo ya Mfumo wa MUKI

    May 29, 2025
  • Shule Bora: Mafunzo kwa Walimu Yaleta Matokeo Chanya

    May 27, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.