• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

Posted on: May 8th, 2025

Shirika lisilo la Kiserikali la “tan zan eye” lilliloanzishwa mwaka 2017 Mkoani Rukwa  linalofanya kazi chini ya Kanisa Katoliki nchini limemkabidhi Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu Eliasante M. Mboelo vifaa tiba huduma za macho vyenye thamani ya fedha za kitanzania milioni miambili na themanini (280) vitakavyotumika kutoa huduma za afya ya macho Mkoani Kigoma.

Vifaa  hivyo vitasambazwa  kwenye  vituo kumi na nane(18) vya  Halmashauri zote za Mkoa wa Kigoma

Hafla hiyo ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika Hospitali ya rufaa ya Kabanga Halmashauri ya Mji wa Kasulu na kuhudhuriwa na Baba Askofu wa Jimbo la Kigoma Rt. Rev J.R. Mlola , Mkurungenzi wa shirika hilo Dr. Karsten Paust pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Mwalimu Vumilia Julius Simbeye.

Wengine waliohudhuria ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Halmashauri zote za Mkoa ziliwasilishwa na Waganga wakuu wa Halmashauri za Wilaya.

Samb amba  na ugawaji wa vifaa hivyo umefanyika uzinduzi wa ujenzi wa kliniki ya macho ampapo ujenzi huo unategemea kugharimu kiasi cha shilingi milioni mianane sabini za kitanzania. Shirika hilo linafanya kazi zake kwenye mikoa ya Rukwa, Katavi na Kigoma.

Katika hotuba yake mgeni rasmi Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu Eliasante M. Mboelo  ameshukuru ushirikiano mkubwa uliopo kati ya Kanisa Katoliki na Serikali na kwamba huduma hizi zinagusa maisha ya watu hivyo kulishukuru shirika hilo kwa msaada huo mkubwa wa vifaa vya kutolea huduma za macho.

Mboelo amesema kuwa  hii inaonyesha waziwazi uungaji mkono juhudi za Mh. Rais Samia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

“Kazi na Utu,Tunasonga Mbele.”

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.