• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

MAKARANI SENSA WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Posted on: August 2nd, 2022

MAKARANI WANAOENDELEA KUPATA MAFUNZO YA SENSA WAASWA KUFANYA KAZI YA SENSA KWA UZALENDO NA WELEDI NA UFANISI WA JUU

Makarani wanaopata mafunzo ya sensa wamepewa wito   wa kuhakikisha  wanatambua wajibu mkubwa walionao katika zoezi  la sensa kwa kusikiliza mafunzo kwa umakini na ufasaha  kwa maslahi mapana ya Kasulu na taifa kwa ujumla

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya yakasulu wakati alipotembelea  kwenye ukumbi wa bogwe sekondari na kusema “ serikali ya awamu wa sita chini ya Mh Raisi Samia Suluhu Hassan inatoa pesa nyingi kwa ajili ya kuhakikisha zoezi hili linakamilika kwani sensa itamsaidia  kupanga mipango ya kimaendeleo kwa nchi kwa miaka kumi na kuwasisitiza kufanya  kazi hii kwa uzalendo mkubwa ili tufikie hatma ambayo Mh.Raisi anaitaka.”

Kwa upande wake mratibu wa sensa wa halmashauri ya Mji Kasulu Bw. Casmiry Charles amesema, “Lengo kuu la mafunzo haya ni kutoa miongozo na vifaa muhimu ambavyo vitatumika katika zoezi la sensa ya watu na makazi tarehe 23 mwezi wa 8  ili kupata taarifa muhimu za kidemografia,kiuchumi na kijamii katika eneo husika” Mafunzo hayo yamezinduliwa rasmi tarehe 31 julai na kutoa muongozo maalumu wa mafunzo ya sensa kulingana na National Bureau of Statistics NBS ambao  unajumuisha mitihani maalumu  itakayofanyika tarehe 5 ,tarehe 8 pamoja na tarehe 14 mwezi wa 8 na watakaofaulu katika mitihani hiyo watendelea na zoezi la sensa

Aidha Mkufunzi Ngazi ya Mkoa wa Kigoma na msimamizi ngazi ya Wilaya Kasulu kutoka ofisi ya Taifa ya takwimu Dodoma Bi.Donatha Tenesi amewasisitiza  makarani na wasimamizi kuhakikisha ubora wa takwimu na kufuata miongozo kutoka makao makuu ili kusaidia nchi kupata taarifa za takwimu sahihi kwa ajili ya kupanga bajeti  na maendeleo ya nchi zitakazotumika kwa miaka kumi.

Kwaupande wa washiriki wa mafunzo hayo wamesema kuwa kuwepo kwa mafunzo haya kutawasaidia kkuweza kufanya kazi kwa weledi na kuahidi kuhakikisha zoezi hili la sensa ya watu wa makazi linafanyika vizuri na kumalizika kwa usalama Zaidi.

Mafunzo haya  yatakuwa ya siku 19 yatakayotolewa katika kata 15 za Kasulu ambazo ni   kata ya msambara,muhunga,kumnyika,kibondo,murufyiti,murusi,murubona,nyumbigwa,kumsenga,ruhita,kimobwa,heru juu ,nyansha ,muhunga pamoja na mganza

 

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.