• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu atoa mikopo

Posted on: February 2nd, 2022

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Col. Isack Mwakisu akitoa mikopo ya Vijana, Wanawake na Walemavu toka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Kasulu. mkopo wenye jumla ya Sh. 134M . Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Leo 2.2.2022 . Mkopo huo umetolewa kwa vikundi 4 ,ambapo 2ni vikundi vya vijana na 2 ni vikundi vya  wanawake  . Vikundi hivyo ni ni  kikundi cha vijana cha  Studio vijan kilichopata mkopo wa Sh. 12M, Kikundi cha vijana cha Kikosi Kazi IPOSA  Kalema kilichopata mkopo wa mashine za uselemala zenye thamani ya Sh.110M,Kikundi cha wanawake kwa mradi wa ufugaji nguruwe mkopo wa Sh. 7M na kikundi cha wanawake cha Msaneza kwa mradi wa ushonaji mkopo wa Sh. 5M. Mhe. Mkuu wa Wilaya Col.Isack Mwakisu amempongeza Mkurungenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Bwana Dollar Rajabu Kusenge kwa jitihada zake za kutimiza matakwa ya kisheria ya kutoa 10% kutoka makusanyo ya mapato ya ndani.

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI ZA UTENDAJI WA MITAA APRILI 2018 April 06, 2018
  • View All

Latest News

  • Mkuu wa Wilaya ya Kasulu atoa mikopo

    February 02, 2022
  • Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Col. Isack Mwakisu akitoa mikopo ya Vijana, Wanawake na Walemavu toka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Mji Kasulu

    February 02, 2022
  • NAIBU WAZIRI TAMISEMI ASISITIZA URIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 23, 2022
  • NAIBU WAZIRI TAMISEMI ASISITIZA URIPOTI KIDATO CHA KWANZA

    January 22, 2022
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

    Kasulu Town Council

    Postal Address: P.O.BOX 475

    Telephone: 028-2810335

    Mobile: 0784997037

    Email: td@kasulutc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.