Hayo yametolewa na mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kasulu Ndugu Vumilia J.Simbeye wakati akiongoza kikao Cha kamati ya lishe robo ya nne (April-Juni 2023/2024) katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kasulu.
Bw.Vumilia amesema lishe ni jambo la msingi Sana na linatakiwa kutiliwa mkazo na kila mmoja wetu hasa kwa upande wa wanafunzi lishe bora inaweza kusaidia kuondoa mdondoko wa wanafunzi mashuleni
Katika kikao hicho kilichowahusisha wajumbe kutoka katika idara na vitengo mbalimbali vya Halmashauri Kasulu vinavyohusika na lishe
Ameshauri uwekwe mpango mkakati wa pamoja ili kuhakikisha suala la lishe