• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

NYUMBA NNE ZA WALIMU NA MADARASA MATATU KUKABIDHIWA HALMASHAURI YA MJI KASULU

Posted on: February 25th, 2025

Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA imekabidhi mradi wa nyumba nne kwa shule ya sekondari Nyumbigwa na madarasa matatu katika shule ya Msingi Msivyi halmashauri ya Mji Kasulu mkoani Kigoma yenye thamani ya shilingi milioni 160 ili kurahisisha mfumo wa utoaji elimu kwa wanafunzi na waalimu kuwa rahisi kwenye ufundishaji na ujifunzaji.


Hayo yamebainishwa na mwakilishi wa  Mkurugenzi mkuu wa taasisi ya mamalaka ya elimu Tanzania (TEA) Paulo Kawawa ambaye ni afisa elimu miradi wa mamlaka ya elimu Tanzania amesema miradi hiyo imejengwa kuanzia mwaka wa fedha 2020 – 2021, 2021 – 2022, 2022 – 2023 na 2023 – 2024 na lengo la serikali  ni kutoa msaada unaoenda kurahisisha utoaji wa elimu katika suala la ufundishaji na ujifunzaji


Kwa upande wake Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Msivyi Metusela Maliatabu amesema kukamilika kwa ujenzi wa madarasa hayo umesaidia kuongeza ufaulu na kupunguza utoro kwa wanafunzi wa shule hiyo japo bado kuna changamoto zinazo endelea kuikabili shule hiyo ikiwemo uhaba wa madarasa na nyumba za waalimu.


Diwani wa kata ya Muganza Ezron Budulege ameishukuru serikali kwa namna ilivyosaidia shule hiyo kupata madarasa matatu ambayo yatapunguza changamoto ya miundombinu shuleni hapo.


Nao baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi Msivyi wamezungumzia namna bora ambayo serikali imepunguza changamoto katika shule hiyo katika suala zima la ujifunzaji shuleni hapo.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.