• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

RC SIRROAITAKA KASULU KUTENGA MAENEO KWA AJILI YA UWEKEZAJI

Posted on: July 8th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Balozi Simon Sirro, amezitaka halmashauri zote zilizopo katika Wilaya ya Kasulu kuhakikisha zinatenga maeneo mahususi kwa ajili ya uwekezaji, ili kuwawezesha   kupata maeneo kwa urahisi bila vikwazo.

Balozi Sirro ametoa wito huo leo Jumanne, Julai 7, 2025, wakati wa ziara yake ya kujitambulisha kwa viongozi wa Serikali, watumishi, wananchi, viongozi wa dini na wazee maarufu, iliyofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu.

“Nafahamu wilaya yetu ina fursa nyingi za uwekezaji kupitia kilimo cha mazao ya chakula na biashara, pamoja na utalii. Nisisitize tu watendaji kuongeza ubunifu na kuweka mifumo mizuri ya usimamizi, sambamba na kutoa ushirikiano kwa wawekezaji waliopo na watakaoingia ili kuongeza pato la wilaya, mkoa na taifa kwa ujumla,” amesema.

Aidha, kutokana na mkoa huo kupakana na baadhi ya nchi zenye changamoto za kiusalama, Balozi Sirro amehimiza watumishi wa umma kutoa elimu ya uraia kwa wananchi ili kuhakikisha wageni wanaoingia nchini wanazingatia sheria, kanuni na taratibu zilizopo kwa lengo la kudumisha amani na utulivu.

Katika hotuba yake, amesisitiza umuhimu wa watendaji kuzingatia vipaumbele vya mkoa, ikiwemo usimamizi wa miradi ya maendeleo, utekelezaji wa sera ya matumizi bora ya ardhi, kukuza biashara na uwekezaji, kuibua vyanzo vipya vya mapato, pamoja na kuboresha huduma za elimu, afya na maji.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Kasulu, Mhe. Kanali Isaac Mwakisu, amesema kuwa hali ya usalama katika wilaya hiyo ni shwari, na kwamba maeneo ambayo tayari yamechukuliwa na wawekezaji wakubwa yatalindwa kwa gharama yoyote ili kuendeleza hamasa ya uwekezaji zaidi.

Naye Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini, Mhe. Joyce Ndalichako, akizungumza kwa niaba ya wananchi, amesema kuwa wao kama wawakilishi wa majimbo ya Kasulu wanajivunia mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Ta

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • TANGAZO LA KAZI July 01, 2025
  • View All

Latest News

  • Mapato ya Ndani Yaleta Matunda – Wananchi Kumnyika Wafaidika na Soko la Kisasa

    August 25, 2025
  • WANAFUNZI WA VYUO KASULU MJI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI UCHAGUZI, WAASWA KUTOKUTUMIWA VIBAYA NA WANASIASA

    August 21, 2025
  • WANAFUNZI WA VYUO KASULU MJI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI UCHAGUZI, WAASWA KUTOKUTUMIWA VIBAYA NA WANASIASA

    August 21, 2025
  • WASIMAMIZI WASAIDIZI WA UCHAGUZI WAAPISHWA RASMI – WAASWA KULINDA UADILIFU NA AMANI

    August 04, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.