• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

SERIKALI YATEELEZA ILANI KWA VITENDO

Posted on: February 4th, 2023

RAIS SAMIA ANATEKELEZA ILANI KWA VITENDO

Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi n(CCM) Taifa,Waziri Mkuu kasimu majaliwa alisema serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania  mheshimiwa samia suluhu Hassan inaendelea kuwatumikia wananchi na kwamba ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020 inatekelezwa.

Aliyasema hayo leo februari 4  wakati wa kati wa maadhimisho ya sherehe za miaka  46 ya ccm mkoa wa kigoma ambayo kimkoa madhimisho hayo yamefanyik akatika uwanja wa umoja wilayani kasulu.

Aidha majaliwa alisema kipindi cha miaka miwil ya serikali ya awamu ya sita ,mheshimiwa rais SAMIA na mwenyekiti wa CCM Taifa amefanikiwa kuboresha sekta mbalimbali zikiwemo,uchumi,elimu,afya,maji,miundombinu,nishati,utalii pamoja na kuimarisha ushirikiano wa kimataifa.

Kadharika muheshimiwa majaliwa alisema mbali na kuimarisha sekta hizo ,mheshimiwa Rais Samia anaendelea kuimarisha muungano  pamoja na kuboresha maslahi ya watumishi wa uuma nchini ili waendelee kuwatumikia wananchi katika maeneo yote

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI May 19, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • View All

Latest News

  • SERIKALI YATEELEZA ILANI KWA VITENDO

    February 04, 2023
  • MAFUNZO USHITIRI KUBORESHA UPATIKANAJI WA DAWA

    April 14, 2023
  • KILIMO KUKWAMUA VIJANA KASULU MJI

    April 27, 2023
  • wadau kusapoti sekta ya elimu kasulu mji

    March 16, 2023
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.