• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

VIONGOZI SERIKALI ZA MITAA WAPATIWA MAFUNZO YA URAIA NA UTAWALA BORA

Posted on: January 30th, 2025

Imeelezwa kuwa elimu ya uraia pamoja na uzingatiwaji wa misingi ya utawala bora ni chachu ya kuleta mabadiliko kwenye uongozi linapokuja suala la usimamizi wa vitu hivyo kwa watu unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Kasulu,Mhe. Kanali Isaac Mwakisu amebainisha hayo leo wilayani humo wakati akifungua Mafunzo ya Uraia na Utawala Bora kwa Viongozi wa Serikali za Mitaa yaliyoratibiwa na Wizara ya Katiba na Sheria.

“Ujuzi utakaopatikana hapa utawawezesha kutekeleza majukumu yenu kwa kuzingatia haki za binadamu,utawala bora,maadili na miiko ya uongozi kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo na kile mtakachokielewa muende kushirikisha watu walio chini yenu mnaowaongoza,” amesema.

Aidha, Kanali Mwakisu amewaomba wawezeshaji wa mafunzo hayo kutilia mkazo suala la utatuzi wa migogoro ya ardhi kwakuwa matatizo mengi yaliyopo wilayani humo yanagusa jambo hilo hivyo ni vizuri washiriki wapewe mwanga wa jinsi ya kukabiliana nayo.


Naye Wakili wa Serikali ambaye pia ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Joyce Mushi amesema kuwa lengo la kutoa elimu hiyo ni kuboresha utendaji kazi uweze kuzingatia haki za binadamu na utawala bora,kukuza demokrasia pamoja na kuimarisha suala la ulinzi na usalama.

Mwezeshaji Mwingine, Yohana Mcharo amewataka washiriki kuakisi dhana ya uwazi kwa kuacha kukalia taarifa ambazo wananchi wanatakiwa kuzipata ikiwemo magonjwa ya milipuko,miradi ya maendeleo au kama kuna kiatarishi chochote.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.