• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

Waajiriwa Wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu Wajengewa Uwezo Kupitia Mafunzo ya Mfumo wa MUKI

Posted on: May 29th, 2025

Leo, Halmashauri ya Mji Kasulu imeendesha mafunzo ya Mfumo wa MUKI kwa waajiriwa wapya kutoka kada mbalimbali. Mafunzo haya yalifanyika katika ukumbi mkubwa wa Halmashauri na yaliwezeshwa na Maafisa TEHAMA pamoja na Maafisa Utumishi.

Akifungua mafunzo hayo, Mkuu wa Idara ya Utumishi, Bw. Nyemo John Mbogoni, aliwasisitiza waajiriwa wapya kuhakikisha wanaelewa vizuri mfumo wa MUKI, akieleza kuwa mafunzo haya ni muhimu sana kwao kama waajiriwa wapya. Alisisitiza umuhimu wa kuendana na teknolojia ya kisasa, kwani shughuli nyingi za kiutumishi sasa zinafanyika kwa njia ya kidigitali kupitia mifumo mbalimbali.

Kwa upande wake, mwezeshaji wa mafunzo, Ndg. Charles Joseph Nyanyembe, alieleza kuwa mafunzo haya yamelenga kuwajengea uwezo watumishi wapya ili wanapoanza kazi waweze kuelewa kanuni na miongozo ya serikali.

Washiriki wa mafunzo walitoa shukrani kwa uongozi wa Halmashauri kwa kuwapatia mafunzo haya. Amiri Dhafa Hatibu, mwajiriwa mpya katika kada ya Elimu, alisema, “Tulivyokuja si kama tulivyoondoka,” akimaanisha kuwa mafunzo hayo yamewapa uelewa mkubwa. Leonatha Ndimbo, mwajiriwa mpya katika kada ya Ufarmasia, alieleza kuwa kutokana na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia, mafunzo haya yamewasaidia kuelewa na kuendana na teknolojia hiyo.

Kwa taarifa zaidi kuhusu shughuli za Halmashauri ya Mji Kasulu, unaweza kutembelea tovuti yao rasmi: kasulutc.go.tz.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • “Waalimu Waaswa Kuongeza Ubunifu Katika Kufundisha Ili Kuleta Mabadiliko Chanya”;TD Simbeye.

    May 30, 2025
  • Waajiriwa Wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu Wajengewa Uwezo Kupitia Mafunzo ya Mfumo wa MUKI

    May 29, 2025
  • Shule Bora: Mafunzo kwa Walimu Yaleta Matokeo Chanya

    May 27, 2025
  • Kasulu, 21 Mei 2025

    May 21, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.