• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

WATAALAMU WA MRADI WA BOOST WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

Posted on: December 23rd, 2022

WATAALAMU WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

Wataalam wa Utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Awali na msingi "BOOST' wametakiwa kutekeleza majukumu yao ili kupata matokeo chanya katika utekelezaji wa mradi huo mara baada ya kupata ujuzi mpya wa kujengewa uwezo na kuhakikisha wanafanya maboresho makubwa katika mfumo wa elimu Nchini

Ameyasema hayo  Bi. Paulini Ndigeza alipokua akifungua mafunzo elekezi kwaajili  ya kuwajengea uwezo Wataalamu Wa Utekelezaji Wa Mradi huo kwa kanda ya magharibi   Kanda ya Magharibi yaliyofanyika Katika Chuo Cha Ualimu Kasulu Mkoani Kigoma.

"Tutumie nafasi hii kujifunza kwa bidii na tuhakikishe tunaelewa dhamira ya mradi huu kwa kuwa malengo ya serikali na wahisani ni kuhakikisha tunafanya maboresho makubwa katika mfumo wa Elimu  nchini ikiwemo kuongeza udahili wa elimu awali pamoja na kujenga  mazingira rafiki ya ujifunzaji na ufundishaji" amesema Ndigeza

Aidha amemshukuru Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwekeza kiasi kikubwa cha Fedha na kuidhinisha ujenzi wa Miundimbinu ya Elimu pamoja na kuwezesha  utekelezaji wa kazi  mbalimbali za kielimu nchini.

Kwa upande wake Mwezeshaji Wa Mafunzo hayo Bi. Joyce Mushi kutoka OR-TAMISEMI, amesema mradi huo wa BOOST unaofadhiliwa na Benki ya Dunia, unathamani ya shilingi Tril. 1.5 ambazo ni ufadhili wa benki ya dunia ukiwa una lengo la kuzifikia shule 6000 na kuwafikia zaidi ya watoto milion 12 nchinii.

Mafunzo hayo ya siku mbili yanaratibiwa na kutekelezwa na Wizara ya OR-TAMISEMI, wizara ya Elimu na Sayansi  na teknolojia pamoja na Wizara ya Fedha  ambapo washiriki wanajengewa uwezo katika afua za uboreshaji wa miundombinu, uwekaji mazingira salama ya ufundishaji na ujifunzaji, kuongeza udahili wa wanafunzi wa elimu awali, uboreshaji mazingira ya kielimu, utoaji wa mafunzo endelevu kwa walimu kazini, kuwezesha upatikanaji wa rasilimali za utoaji huduma katika Halmashauri

Timu za utekelezaji wa mafunzo hayo, zinaundwa na Wakuu wa Idara na Vitengo vya Elimu Msingi, Manunuzi, Maendeleo Ya Jamii, Uthibiti Ubora wa Elimu Walimu ngazi ya Shule za Msingi Wahandisi, Maafisa Habari pamoja na Mratibu Ngazi Ya Mkoa

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.