• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

WAZAZI KUSHIRIKI KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO

Posted on: August 5th, 2023

WAZAZI MKOANI KIGOMA WATAKIWA KUWALINDA WATOTO ILI KUPUNGUZA UKATILI WA KIMTANDAO

Kutokana na wimbi la ukatili wa kijinsia unaoendelea kutokea mkoani kigoma wazazi   na walezi wilayani kasulu wametakiwa kuacha tabia ya kuwamilikisha simu watoto wenye umri chini ya miaka 18 lengo ikiwa ni kuwalinda na vitendo vya ukatili mtandaoni.

Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa SMAUJATA Taifa Bw Sospeter Bulugu wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kupinga ukatili na utoaji wa taarifa ndani ya masaa 72 iliyofanyikia katika viwanja vya umoja kata ya Murubona kasulu mjini na kusema,”takwimu zinaonyesha kuwa watoto wengi wamefanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia mitandaoni na kwamba haoni sababu ya mzazi kumruhusu mtoto kumiliki simu kabla ya wakati”.

Kwa upande wake bi Beatrice Emmanuel kutoka shirika la IRC kitengo cha kupinga na kuzuia vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na wasichana amesema,”ili kuwa na Taifa lenye haki ,Amani na maendeleo wanaendelea kutoa elimu kwa jamii lengo ikiwa ni kuokoa maisha ya watu ambao wamekuwa wakipoteza maisha kwa kufanyiwa vitendo vya kikatili”.

Aidha   Mkurugenzi wa shirika la endeleza wazee Mkoa wa Kigoma Bi kokupima alisema,”wazee wamekuwa wakitendewa  vitendo vya ukatili kama vipigo,ubakaji pamoja na kunyang’anywa   mali katika maeneo  yao na wanashindwa kutoa taarifa kutokana na uelewa mdogo wa Elimu  ya namna ya kuripoti matukio ya kikatili.

Hata hivyo baadhi ya wanafunzi waliohudhuria uzinduzi wa kampeni hiyo kutoka shule ya sekondari Kinkati na Murubona wamesema,”wazazi wanalo jukumu la kuhakikisha wanawatimizia mahitaji yote watoto wao hili litawasaidia wao kutokuwa na tamaa ya kupokea zawadi kwa watu ambao sio wema”.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.