• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

ZAIDI YA BILIONI 5 ZATENGWA UJENZI HOSPITALI KANDA

Posted on: October 17th, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa SAMIA SULUHU HASSAN amesema Serikali imetenga zaidi ya Shilingi Bilioni tano kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Kanda Mkoani Kigoma ambayo itahudumia wakazi wa Mkoa, Mikoa jirani ya Katavi na Tabora.

Mhe. Rais ametoa Kauli hiyo wakati akiweka jiwe la Msingi kwenye jengo la msaada wa dharura na pamoja na  wagonjwa mahututi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma ambapo majengo hayo yamegharimu kiasi cha shilingi Bilioni 1.3 kutoka serikali kuu.

Amesema lengo la ujenzi wa hospitali hiyo ni kutoa matibabu ya kisasa pamoja na  utalii wa kiafya kwa wananchi wa ndani na nje ya nchi ya Tanzania zikiwemo nchi jirani kutokana  na Mkoa wa Kigoma kuwa kimkakati  kijamii, kibiashara na kiutamaduni.

Aidha Mhe. Rais ameahidi kutoa kiasi cha Shilingi Bilioni Mbili kwa ajili ya ukamilishaji wa majengo mbalimbali katika Hospitali hiyo ili iwezeshe utendaji kazi wenye ufanisi.

Awali, Mhe. Rais Samia ameweka Jiwe la Msingi katika eneo la Ujenzi wa Bandari ndogo ya Kibirizi unaotekelezwa kwa Fedha kutoka Serikali Kuu wenye Thamani ya Shilingi Bil. 32, ukihusisha ujenzi wa gati, ofisi za wafanyakazi, eneo la kupumzikia abiria na Ghala la kuhifadhia Mizigo.

Pia, Rais Samia amewataka wakazi hao wa Kata ya Kibirizi kuupokea mpango wa Serikali wa ujenzi wa Soko la kisasa katika eneo kwa kuruhusu kubomolewa vibanda vilivyojengwa bila kufuata mpangilio ili kulifanya eneo hilo kuwa katika mpangilio mzuri tofauti na lilivyo kwa sasa.

 

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • TANGAZO LA KAZI YA MWANDISHI MWENDESHA OFISI March 07, 2023
  • View All

Latest News

  • WATAALAMU WA MRADI WA BOOST WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

    December 23, 2022
  • WATAALAMU WA MRADI WA BOOST WATAKIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO

    December 23, 2022
  • WANANCHI WAASWA KUPINGA VITA RUSHWA

    December 09, 2022
  • ZAIDI YA BILIONI 5 ZATENGWA UJENZI HOSPITALI KANDA

    October 17, 2022
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.