Posted on: August 4th, 2025
Halmashauri ya Mji Kasulu imeendesha mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata, yakiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni. Mafun...
Posted on: July 26th, 2025
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Kasulu, Mwl. Vumilia J. Simbeye, ameendelea kuwa kielelezo cha vitendo kwa kuongoza zoezi la usafi wa mazingira lililofanyika leo katika maeneo mbalimbali ya mji, k...
Posted on: July 25th, 2025
Kasulu, 24 Julai 2025
Waziri wa Maji, Mh. Jumaa Hamidu Aweso (MB), amefurahishwa na maendeleo makubwa ya mradi wa maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Halmashauri ya Mji Kasulu.
Mradi huo, ambao ...