Posted on: May 17th, 2025
Mwl. Vumilia Simbeye aleta mapinduzi Kasulu Mji! Kwa mara ya kwanza, timu rasmi za michezo za watumishi wa Halmashauri ya Mji Kasulu zimeanzishwa. Afya, mshikamano, na vipaji sasa vinawekwa mbele.
...
Posted on: May 16th, 2025
Kasulu, Tanzania
Serikali kupitia Mradi wa BOOST imepiga hatua kubwa katika kuboresha elimu ya awali nchini, kwa kuimarisha mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji, pamoja na miundombinu na upatikan...
Posted on: May 8th, 2025
Shirika lisilo la Kiserikali la “tan zan eye” lilliloanzishwa mwaka 2017 Mkoani Rukwa linalofanya kazi chini ya Kanisa Katoliki nchini limemkabidhi Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa Ndugu Eliasante M....