Posted on: January 31st, 2025
Hayo yameelezwa na washiriki wakati wa mafunzo yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Bogwe kwa kupitia mradi wa Shule Salama yakiwahusisha walimu wakuu na waratibu elimu wa Halmashauri ya Mji Kasulu...
Posted on: January 30th, 2025
Imeelezwa kuwa elimu ya uraia pamoja na uzingatiwaji wa misingi ya utawala bora ni chachu ya kuleta mabadiliko kwenye uongozi linapokuja suala la usimamizi wa vitu hivyo kwa watu unaowaongoza.
Mk...
Posted on: January 22nd, 2025
Halmashauri ya Mji Kasulu kwa Mwaka wa fedha 2024/2025 ilitenga jumla ya Sh: 267,530,060.53 kwa ajili ya ukopeshaji kwa Wanawake, Vijana na Watu wanaoishi na ulemavu.
Akizu...