Posted on: October 10th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kasulu Kanali Isaac Mwakisu amewaomba viongozi wa dini zote wilayani humo kuhubiri amani kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na kuhamasisha waumini kujiandikisha katika dafta...
Posted on: October 8th, 2024
Leo Oktoba 07 madaktari bingwa katika fani mbali mbali wamefika Halmashauri ya Mji kasulu na kuanza kutoa matibabu kwa wananchi kama ilivyotangazwa hapo awali
Akizungumza Kiongozi wa ...