Tuesday 26th, September 2023
@KASULU TC
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji-Kasulu Bw.Dollar Rajabu Kusenge afanya makabidhiano ya Ofisi na aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji-Kasulu Bi.Fatina H Laay, baada ya kupata uteuzi wa kwenda kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba ( Vijijini). Fatina ametumikia Halmashauri ya Mji wa Kasulu toka Mwaka 2015 hadi Julai 29,2021.