Idara ya Afya kinga na Tiba ufanya kazi ya kutoa Elimu ya Afya kwa Jamii juu ya kujikinga na Magonjwa ya kuambukiza na yasiyo ya kuambukiza inayotolewa kwa wateja wote waliofika katika vituo vya kutolea huduma za Afya. Pia hutoa huduma ya kutibu magonjwa mbalimbali yanayowakabili wanadamu.
Kasulu Town Council
Postal Address: P.O.BOX 475
Telephone: 028-2810335
Mobile: 0784997037
Email: td@kasulutc.go.tz