Ili kupata salary slip kwa Mtumishi wa Umma anaefanya kazi Halmashauri ya Mji Kasulu unapaswa kufuata hatua zifuatazo:
1. Njoo Halmashauri ya Mji Kasulu,uliza ofisi ya utumishi utahudumiwa
2.Tembelea tovuti ya Utumishi ,kwa kufuata hatua zifuatazo ambayo ni www.utumishi.go.tz
Kasulu Town Council
Postal Address: P.O.BOX 475
Telephone: 028-2810335
Mobile: 0784997037
Email: td@kasulutc.go.tz