Idara ya Mifugo na Uvuvi ufanya kazi ya kutoa Elimu ya ufugaji bora kwa wafugaji ili waweze kuwakinga wanyama pamoja na ndege dhidi ya magonjwa ya kuambukizwa na yale yasiyo ya kuambukiza. Pia hutoa chanjo mbalimbali kwa wanyamaa na ndege wafugwao ili kuweza kuwakinga na magonjwa ya kuambukizwa.