Halmashauri ya Mji wa Kasulu ina jumla ya shule za Msingi 59 za serikali zenye jumla ya wanafunzi 55,322 kati yao wavulana 27448 na wasichana 27,874. Katika kipindi cha robo ya kwanza. Idara ya Elimu Msingi ni Idara ambayo utoa huduma ya Elimu ya Msingi pamoja na kusimamia ubora wa elimu hasa eneo hilo.