Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji kasulu anapenda kuwakaribisha wananchi wote kuhudhuria Mkutano wa Baraza la Madiwa wa Robo ya kwanza kwa mwaka wa fedha 2017/2018, utakaofanyika katika ukumbi wa utamaduni kuanzia saa 4.00 asubuhi siku ya tarehe 26.01.2018. Miongoni wa Agenda zitakazojadiliwa ni pamoja na agenda ya taarifa za kazi kutoka kwenye kamati za kudumu za Halmashauri kwa kipindi cha Oktoba-Desemba 2017