Madiwani wapya wa Halmashauri ya Mji Kasulu wameapishwa leo katika Baraza lao la Kwanza la Mwaka 2025, hatua inayoashiria mwanzo wa safari mpya ya uongozi na utumishi kwa wananchi. Zoezi hilo limefanyika kwa kufuata taratibu na miongozo ya kisheria, huku kila diwani akiahidi kutekeleza majukumu yake kwa uadilifu, uwazi na maslahi ya jamii. #Kasulu2025 #UongoziKwaVitendo”