• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
    • Units
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUU WA WILAYA ATOA WITO

Posted on: June 5th, 2022

MKAA MBADALA CHACHU MAENDELEO

Wananchi Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma wametakiwa kuongeza kasi ya kuendelea kutunza na kuhifadhi mazingira yanayowazunguka kwa kuepuka kulima karibu na vyanzo vya maji , uchomaji misitu ikiwemo ukataji wa miti ovyo hali inayopelekea kuzorotesha usitawi wa mazingira.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Kanal Isaac Mwakisu  kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya mazingira yaliyofanyika leo juni tano mwaka huu kwenye viwanja vya hospitali ya wilaya ya kasulu na kusema takwimu za matumizi ya nishati mbadala yanaongezeka kwa kiwango kidogo sana wilayani humo

Aidha kanal Mwakisu ametoa wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo kuelekeza nguvu zao za pamoja kuwasaidia wananchi wenye kipato kidogo ili waweze kumudu matumizi ya nishati mbadala ikiwemo matumizi ya majiko banifu

.

Kwa upande wao wananchi wameishukuru serikali kwa kuendelea kutoa elimu ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira na kuwaomba wadau mbalimbali wa maendeleo kuendelea kujitokeza kuhamasisha na kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutunza mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na baadae .

Announcements

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAHILI JIPYA December 09, 2020
  • FOMU YA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 December 15, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI November 03, 2021
  • MATOKEO YA USAILI KWA NAFASI ZA UTENDAJI WA MITAA APRILI 2018 April 06, 2018
  • View All

Latest News

  • HALMASHAURI YA MJI KUPATA RUZUKU

    June 21, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HATI SAFI YAIPASIFA HALMASHAURI

    June 16, 2022
  • HALMASHAURI KUPINGA UALBINO

    June 13, 2022
  • View All

Video

UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA KUPITIA FEDHA ZA UVIKO 19 KASULU TC
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.