• complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Kasulu Town Council
Kasulu Town Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Kasulu Town Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Department
      • ELIMU SEKONDARI
      • ELIMU AWALI NA MSINGI
        • MAENDELEO YA JAMII
      • MAENDELEO YA JAMII
      • MIUNDOMBINU MAENDELEO YA MJINI NA VIJIJINI
      • HUDUMA ZA AFYA USTAWI WA JAMII NA LISHE
      • VIWANDA BIASHARA NA UWEKEZAJI
      • KILIMO MIFUGO NA UVUVI
      • MIPANGO NA URATIBU
      • UTAWALA NA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU
    • Units
      • USIMAMIZI WA TAKA NGUMU NA USAFI WA MAZINGIRA
      • MICHEZO UTAMADUNI NA SANAA
      • FEDHA NA UHASIBU
      • HUDUMA ZA SHERIA
      • UKAGUZI WA NDANI
      • USIMAMIZI WA UNUNUZI
      • TEHAMA
      • MAWASILIANO SERIKALINI
      • NMALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
      • MALIASILI NA HIFADHI YA MAZINGIRA
  • Investment opportunities
    • Agriculture
    • Livestock
  • Our Services
    • Health
    • Education
    • Agriculture
  • Councillors
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Ratiba
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Mipango Miji Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Uchumi Elimu Afya na Maji
  • Projects
    • Proposed Projects
    • On-going-Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Brochures
    • By Law
    • Strategic Plan
    • Reports
  • Media Centre
    • Video
    • Press Release
    • Speeches
    • Photo Gallery

MKUU WA WILAYA KASULU AONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA MASHUJAA NCHINI.

Posted on: July 25th, 2023

Mhe. Kanal Isack Anthony Mwakisu mkuu wa wilaya ya kasulu aongoza na kuungana na mamia ya watumishi wa serikali wilayani, viongozi wa chama Cha mapinduzi (CCM) pamoja na wakazi wa Kasulu Mjini katika kumbukizi ya siku ya Mashujaa nchini kwa kuwapa hamasa wakazi wa Kasulu katika kufanya usafi katika makazi yao.

Maadhimisho  ya siku ya Mashujaa wilayani Kasulu yameanzia uwanja wa umoja uliopo katika kata ya Murubona na kuishia katika eneo la dampo lililopo maeneo ya mtaa wa Takukuru Kasulu mjini.Maadhimisho hayo yameambatana na ufanyaji usafi wa mazingira katika maeneo tofauti tofauti.

Aidha Mhe. Mkuu wa wilaya ameongea   kuhusiana na siku ya kumbukizi ya mashujaa nchini. "Leo tupo hapa kwa ajiri ya kufanya usafi huku tukifanya kumbukizi ya siku ya mashujaa wetu nchini ambayo huwa inaadhimishwa kila tarehe 25, Julai kila mwaka. Waliomwaga damu, dada zetu, mama zetu, kaka zetu na  baba zetu  kutoka sehemu tofauti tofauti katika nchi hii zikiwemo na nchi jirani ambapo Tanzania iliongoza au ilishiriki katika ukombozi, Pia ni kumbukizi ya ndugu zetu waliomwaga damu katika kumng'oa Nduli Iddy Amini Dada huko Uganda. Hivyo   serikali ilipanga kila tarehe 25 Julai iwe ni siku pekee ya kumbukizi ya mashujaa wetu nchini na sisi tumekutana mahali hapa ili kuadhimisha hilo".

Pia, Mhe.Mkuu wa wilaya ameeleza lengo na faida ya kufanya usafi "... Ni utamaduni kufanya baadhi ya shughuli ili kuzionyesha kwa wananchi,  Sasa kwa eneo letu la Kasulu tuliona Kuna haja kubwa ya kufanya zoezi la usafi ili kuwapa hamasa wakazi wa Kasulu  kuona faida na namna bora ya kufanya usafi katika maeneo yao, huku tukiadhimisha na kukumbuka mchango wa mashujaa wetu waliomwaga damu zao ili kuifanya nchi yetu na nchi jirani  kuwa na amani na utulivu ..."

Maadhimisho ya siku ya mashujaa kitaifa  yamefanyika Jijini Dodoma yakiongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa jamuhuri ya muungano.

Announcements

  • NAFASI ZA KAZI March 19, 2025
  • TANGAZO LA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA April 30, 2025
  • View All

Latest News

  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • KAIMU KATIBU TAWALA MKOA NDUGU ELIASANTE M.MBOELO AKABIDHIWA VIFAA TIBA HUDUMA ZA MACHO MKOANI KIGOMA

    May 08, 2025
  • BARAZA LA MADIWANI KASULU TC LATOA PONGEZI

    May 05, 2025
  • View All

Video

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA
More Videos

Quick Links

  • News

Related Links

  • TAMISEMI
  • Ega
  • Utumishi
  • Kigoma Region

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap
    • Service
    • Test

Copyright ©2017 Kasulu Town Council. All rights reserved.